BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أبي عبد الله جابر بن عبد الله الأنصاري - رضي الله عنهما - قال: كنا مع النبي صلي الله عليه وسلم في غزاة فقال: [إن بالمدينة لرجالاً ما سرتم مسيراً ولا قطعتم وادياً إلا كانوا معكم؛ حبسهم المرض] وفي رواية: [إلا شركوكم في الأجر] رواه مسلم
ورواهُ البُخَارِيُّ عَنْ أَنَسٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ :رَجَعْنَا مِنْ غَزْوَةِ تَبُوكَ مَعَ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَقَالَ: "إِنَّ أَقْوَامَاً خلْفَنَا بالمدِينةِ مَا سَلَكْنَا دشِعْباً وَلاَ وَادِياً إِلاَّ وَهُمْ مَعَنَا ، حَبَسَهُمْ الْعُذْرُ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Jabir bin Abdillah Al Answary r adhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao amesema: Tulikuwa pamoja na Mtume ﷺ katika vita fulani akasema: [Hakika Madina kuna watu ambao nyinyi hamukwenda mwendo wowote, wala hamukupita jangwa lolote isipokuwa wao wako na nyinyi, wamezuiliwa na ugonjwa" na katika Riwaya ngine Amesema [Isipokuwa wameshirikiana nanyi katika Ujira] [Imepokelewa na Muslim]
Na amepokea Imamu Al Bukhari Kutoka kwa Anas radhi za Allah ziwe juu yake asema:
Tulirudi kutoka katika vita vya Tabuuk pamoja na Mtume ﷺ akasema: [Hakika kuna watu nyuma yetu Madina hatukufuata njia ya mawe wala jangwa ila wao wako pamoja nasisi ,wamezuiliwa na udhuru].
SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAM