الحديث الأول
عن عبدالله بن عمرو بن العاص - رضي الله عنهما - قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: "فمَن أحَب أن يُزحزَح عن النار ويدخل الجنة، فلتأتِه منيَّتُه وهو يؤمن بالله واليوم الآخر، وليأتِ إلى الناس الذي يحب أن يؤتى إليه"؛ رواه مسلم
MPOKEZI WA HADITHI
MAANA YA HADITHI
Kutoka kwa Abdullah bin Amr bin Al-As - Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao - alisema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu - (Rehema na amani ziwe juu yake) "Anapenda kuepushwa na moto, na kuingia peponi, Basi na amjie mauti yake hali yakuwa anamuamini Menyezi na kuamini Siku ya Mwisho, na awatendee watu yale anayopenda atendewe na watu" [Imepokelewa na Muslim].
SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI NA SHEIKH MAHAMAD RAJAB
Today | 875 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.