الحديث الثاني والأربعون
"يا ابن آدم إنك ما دعوتني ورجوتني"
عن أنس رضي الله عنه قَالَ: سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وآله وسلم يَقُولُ: [قَالَ اللَّهُ تَعَالَى: يَا ابْنَ آدَمَ إِنَّكَ مَا دَعَوْتَنِي وَرَجَوْتَنِي غَفَرْتُ لَكَ عَلَى مَا كَانَ مِنْكَ وَلاَ أُبَالِي. يَا ابْنَ آدَمَ لَوْ بَلَغَتْ ذُنُوبُكَ عَنَانَ السَّمَاءِ ثُمَّ اسْتَغْفَرْتَنِي غَفَرْتُ لَكَ . يَا ابْنَ آدَمَ إِنَّكَ لَوْ أَتَيْتَنِي بِقُرَابِ الأَرْضِ خَطَايَا ثُمَّ لَقِيتَنِي لاَ تُشْرِكُ بِي شَيْئًا لاَتَيْتُكَ بِقُرَابِهَا مَغْفِرَةً
رَوَاهُ التِّرْمِذِيُّ وَقَالَ: حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 42
UKUNJUFU WA MSAMAHA WA MWENYEZI MUNGU
Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema : Nilimsikia Mtume ﷺ akisema :
Mwenyeezi Mungu amesema : [Ewe Mwana wa Adam utakaponiomba na kuweka matumaini kwangu, basi nitakusamehe makosa uliyoyafanya na sitojali. Ewe Mwana wa Adam kama dhambi zako zingefika mawingu ya mbingu na wewe ukaomba msamaha kwangu, ningekusamehe. Ewe Mwana Wa Adam kama ungelinijia na dhambi kubwa kama dunia na ukanikabili bila ya kunishirikisha nitakupa maghfira.]
[Imepokelewa na Tirmidhi na kasema ni hadithi Hasan Sahihi]
Today | 762 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.