الحديث التاسع والثلاثون
"إن الله تجاوز لي عن أمتي الخطأ والنسيان"
[عَن ابْنِ عَبَّاسِ رَضِيَ الله عَنْهُما: أن رَسُوَل اللهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ : [إنَّ الله تَجاوَزَ لِي عَنْ أُمَّتي: الْخَطَأَ، والنِّسْياَنَ، وَمَا اسْتُكْرِهُوا عَلَيْهِ
حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ ابْنُ مَاجَهْ وَالْبَيْهَقِيّ وَغيرهما
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 39
KUSAMEHEWA KWA KUSAHAU
Kutoka kwa Ibn ‘Abbaas ambaye amesema kwamba Mtume ﷺ kasema:
[Mwenyezi mungu Amewasamehe kwa ajili yangu umma wangu kwa kukosea, kusahau, na yale wanayoyafanya kwa kulazimishwa kwa nguvu (ambayo hawana khiyari nayo)]
[Imepokelewa na Ibn Maajah na Al-Bayhaqi]
Today | 755 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.