الحديث الحادي والثلاثون


Annawawiy1


"ازهد في الدنيا يحبك الله"

عَنْ أَبِي العَبّاسِ سَهلِ بْن سَعْدٍ السّاعِدِيِّ رضي الله عنه قَالَ : جَاءَ رَجُلُ إِلى النَبِي صلى الله عليه وسلم فَقَالَ : يَا رَسُولَ اللَّهِ دُلَّنِي عَلَى عَمَلٍ إِذَا عَمِلْتُهُ أَحَبَّنِي اللَّهُ وَأَحَبَّنِي النَّاسُ . فَقَالَ:  [ازْهَدْ فِي الدُّنْيَا يُحِبُّكَ اللَّهُ وَازْهَدْ فِيمَا عِنْدَ النَّاسِ يُحِبُّكَ النّاسُ
رَوَاهُ ابْنُ مَاجَهْ وَغَيْرُهُ بِأَسَانِيدَ حَسَنَةٍ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



 HADITHI YA 31


UPE ULIMWENGU KISOGO ALLAAH ATAKUPENDA


Kutoka kwa Abu Al-‘Abbaas Sahl bin Sa'ad As-Saa'idiy Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema:

Mtu alikuja kwa Mtume ﷺ na akasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyeezi Mungu, nielekeze kitendo ambacho nikitenda Mwenyezi Mungu atanipenda na watu watanipenda. Akasema ﷺ : [Upe ulimwengu kisogo Mwenyeezi Mungu atakupenda, na jiepushe na vilioko Mikononi mwa watu na watu watakupenda.]
[Imepokelewa na Ibn Maajah na wengineo kwa mtiririko mzuri wa mapokezi.]


 

comments