KINACHOSEMWA WAKATI WA MFAZAIKO
[لا إله إلا الله]
[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]