KINGA YA MUISLAMU


 khofu11


 

[ اللهم إني أعوذ بك أن أشرك بك وأنا أعلم ، وأستغفرك لما لا أعلم ]

 أحمد 4/403 وغيره 

[Ewe Mwenyezi Mungu  hakika mimi najilinda kwako kutokana na kukushirikisha  hali ya kuwa najua na ninakutaka msamaha na nisilolijua.]       [Imepokewa na Ahmad na wengineo.]


DUA YA KUOGOPA KUINGIA KATIKA USHIRIKINA


 


comments