DUA KABLA YA KUJIMAI (KUMUINGILIA MKEO)


 DUKHLA


 

[ بسم الله ، اللهم جنبنا الشيطان وجنب الشيطان ما رزقتنا ]

البخاري 6/141 ومسلم 2/1028

[Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Ewe Mwenyezi Mungu  tuepushe na shetani, na muepushe shetani na ulicho turuzuku]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]


SIKILIZA DUA KABLA YA KUJIMAI (KUMUINGILIA MKEO)


 


comments