KINGA YA MUISLAMU


zifaaf


 

اللهم إني أسألك خيرها وخير ما جبلتها عليه وأعوذ بك من شرها وشر ما جبلتها عليه ، وإذا اشترى بعيراً فليأخذ بذروة سنامه وليقل مثل ذلك

 أبو داود 2/248 وابن ماجه 1/617

[Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba kheri ya (mke) huyu na kheri ya maumbile  uliyomuumba  nayo na najilinda kwako na shari yake, na shari ya maumbile uliyomuumba nayo.]

Na akinunua mnyama atamshika kichwa chake na kisha atasome duaa hii.

    [Imepokewa na Abuu Daud na Ibnu Maajah.]


SIKILIZA DUA HII HAPA


 


comments