KINGA YA MUISLAMU
[يهديكم الله ويصلح بالكم]
الترمذي 5/82 وأحمد 4/400 وأبو داود 4/308
[Mwenyezi Mungu akuongoze na akurekebishie mambo yako.] [Imepokewa na Al-Ttirmidhi,na Ahmad,na Abuu Daud.]
ANACHOAMBIWA KAFIRI ANAPOPIGA CHAFYA (KUCHEMUA)