DUA YA KUPIGA CHAFYA (KUCHEMUA)


  kuchemua 


Akichemua mmoja wenu aseme:

[ الحمد لله ]

[Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu.]

Mwenzake amwambie:

 [ يرحمك الله ]

[Mwenyezi Mungu akurehemu.]

Kisha naye amjibu:

[ يهديكم الله ويصلح بالكم ]

 

[Akuongoze Mwenyezi Mungu  na akutengenezee mambo yako.]       [Imepokewa na Bukhari.]


DUA YA KUPIGA CHAFYA (KUCHEMUA)


 


comments