KINGA YA MUISLAMU


matunda1


 

[اللهم بارك لنا في ثمرنا ، وبارك لنا في مدينتنا وبارك لنا في صاعنا ، وبارك لنا في مدنا]

 مسلم 2/1000

[Ewe Mwenyezi Mungu tubarikie matunda yetu, na tubarikie mji wetu, na tubarikie pishi (Swaa) yetu na tubarikie kibaba (Mudd) chetu.]      [Imepokewa na Muslim.]


SIKILIZA DUA HII HAPA


 


comments