DUA YA ALIYEALIKWA CHAKULA LAKINI AKAWA AMEFUNGA

 

Amesema Mtume ﷺ:

إذا دُعي أحدكم فليجب ، فإن كان صائماً فليصل وإن كان مفطراً فليطعم "[1] ومعنى فليصل أي فليدع

 مسلم 2/1054

[Akialikwa mmoja wenu aitike mwito, akiwa amefunga basi awaombee dua na kama hakufunga basi ale.]       [Imepokewa na Muslim.]


comments