KINGA YA MUISLAMU


 MVUA


 

[اللهم اسقنا غيثاً مغيثاً مريئاً مَريعاً نافعاً غير ضار ، عاجلاً غير آجل]

أبو داود 1/303 وصححه الألباني

[Ewe Mwenyezi Mungu  tunyesheleze mvua yenye kuokoa, nyingi yenye kustawisha, yenye manufaa isiyo dhuru, ya haraka isiyochelewa.]     [Imepokewa na Abuu Daud na kusahihishwa na Al-Baaniy]


[اللهم أغثنا ، اللهم أغثنا ، اللهم أغثنا]

البخاري 1/224 ،مسلم 2/613

[Ewe Mwenyezi Mungu  tuokowe kwa kututeremshia mvua, ewe Mwenyezi Mungu  tuokowe kwa kututeremshia  mvua, ewe Mwenyezi Mungu  tuokowe kwa kututeremshia mvua.]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]


[اللهم اسق عبادك وبهائمك ، وانشر رحمتك وأحيي بلدك الميت]

 أبو داود 1/305 وحسنه الألباني

[Ewe Mwenyezi Mungu  wanyesheleze waja wako, na wanyama wako, na eneza rehema zako nafufua nchi yako iliyokufa.]    [Imepokewa na Abuu Daud na kuhasinishwa na Al-Baaniy.]


SIKILIZA DUA YA KUOMBA MVUA


 


comments