KINGA YA MUISLAMU


dua ya shaka


 

[ يستعيذ بالله ]

البخاري مع الفتح 6/336 ومسلم 1/120

[Atataka (aombe) hifadhi ya Mwenyezi Mungu]       [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

 

[ ينتهي عما شك فيه ]

 البخاري مع الفتح 6/336 ومسلم 1/120

[Aondowe kile kitu alichokifanyia shaka]        [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

 

"يقول" آمنت بالله ورسله

 مسلم 1/  119

Kisha aseme [Nimemuamini Mwenyezi Mungu  na mitume yake.]       [Imepokewa na Muslim.]  

 

{يقرأ قوله تعالى { هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ 

 

Kisha asome aya hii katika Qur’ani 

[Yeye ndiye wa Mwanzo na wa Mwisho, na aliye Wazi, na aliyejificha, naye ni mjuzi wa kila kitu.]

[Imepokewa na Abuu Daud.]


DUA ALIYEPATWA NA SHAKA KATIKA IMANI YAKE



comments