KINGA YA MUISLAMU


dua ya adui


[ اللهم منزل الكتاب ، سريع الحساب ، اهزم الأحزاب ، اللهم اهزمهم وزلزلهم ]

 مسلم 3/1362

[Ewe Mwenyezi Mungu, Mteremsha wa kitabu, Mwepesi wa kuwahisabu (waja wako) Vishinde vikosi.  Ewe Mwenyezi Mungu, washinde na watetemeshe.]      [Imepokewa na Muslim.]


SIKILIZA KUOMBA DUA DHIDI YA ADUI


 


comments