KINGA YA MUISLAMU


 NGUO MPYA1


 

[بِسْمِ الله]

[Kwa jina la Mwenyezi Mungu   (ninavua)]

Amesema Mtume :

 

[سِتْرُ ما بَيْنَ أعْيُن الجِنِّ وَعَوْرَاتِ بَني آدَمَ إذا وَضَعَ أحدُهُمْ ثَوْبَهُ أنْ يقول: " بِسم الله ]

الترمذي 2/505 وغيره وانظر الإرواء برقم 49 صحيح الجامع3/  203

 

[Sitara kati ya macho ya Majini na tupu ya Binadamu ni anapo vua nguo mmoja wao aseme: [Kwa jina la Mwenyezi Mungu.]      [Imepokewa na Al-Tirmidhiy]


              DUA YA KUVUA NGUO



comments